MWANAUME AMBAYE SI MUAMINIFU HUYAFANYA HAYA
1. Muda mchache sana huutumia na wewe. Hii huwa tofauti
na kipindi cha mwanzo cha mahusiano yanapoanza.
Ambapo muda mwingi hupenda kuwa karibu yak. Kukusikia
kama si kukuona kabisa.
2. Hana hamu nawe ya kimapenzi tena. Tofauti na mwanzo
au ilivyozoeleka katika mahusiano yenu. Kama yeye alikuwa
akikuhitaji faragha, basi sasa hata kama ni wewe ndiye
unemuhitaji basi atakujibu amechoka.
3.Atakuwa anakukwepa. Atakwepa mawasiliano nawe
atakwepa kuonana na wewe atakwepa majukumu yake ya
kawaida aliyokuwa anakufanyia siku zote kipindi mnaanza
mahusiano
4 Atakuwa mkali tofauti na mwanzo. Hathamini tena
kukubembeleza pale atakapoona amezidisha ukali katika
sauti yake. Hathamini chozi lako hata ukilia mbele yake.
5. Hasira za haraka zitakuwa juu yake. Hii inatokana na
kutafuta ufanye kosa dogo ili akuache mazima hata wakati
mwingine si kweli kwamba ulichomtania kitakuwa
kimemuudhi kweli
6. Atabadilisha muonekano wake yaani kama ni nywele
atabadilisha style na nguo atapenda kununua mpya mara
kwa mara ili awavutie wanawake wengine
7. Simu yake haitawekwa chini kama ikiwekwa upande wa
phone book, picture, call log au msg itakuwa na pasword
lock hivyo utaambulia patupu.
Au usipokuta pasword basi inbox utaikuta empty na call log
pia kama vile hukumtumia msg tangu asubuhi hata zako
kazifuta pia. Si unajua delete all?
8 kama akiwa ametoka na rafiki zake na upo naye mbali
hata ukimpigia simu hatopokea na hata baada yadakika
kumi kupita hatokutafuta. Wakati mwanaume yeyote
huitazama simu yake kila baada ya dakika kumi
9. Busy kila mara. Atakuwa busy mara kwa mara tofauti na
zamani hata kama hana anachokifanya lakini ukimtafuta
atakuambia yupo busy
10. Haoni aibu kumsifia mwingine mbele yako kuwa ni mzuri
au ana shape nzuri kwa kuwa hajali tena hisia zako.
* fanya hivi ukiona haya:- mwambie mabadiliko ambayo
umeyaona kwake tofauti na alivyokuwa zamani. Kama
akikujibu kila kitu kipo sawa na wewe unafahamu mambo si
shwari endelea kumsihi abadilike. Usiwe kipofu katika
mapenzi yako. Kama mambo si shwari hakikisha
unayamaliza kabla hujachukua uamuzi ambao unaweza
ukawa si sahihi

Comments
Post a Comment